.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Juni 2017

ZLATAN IBRAHIMOVIC HUENDA ASIPEWE MKATABA MPYA MAN UTD

Manchester United inatarajiwa kutotoa mkataba mpya kwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic wakati mkataba wa hivi sasa utakapoisha Juni 30.

Mwaka jana mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35, alikubali kuingia mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na uwezekano wa kuongezwa.

Hata hivyo suala la kuongezewa muda halijafanyika huku Ibrahimovic akiumia goti mwezi April na kumfanya kutomaliza msimu.

Timu za Ligi Kuu ya Uingereza zinatarajiwa kutoa orodha ya wachezaji itakaowabakisha kwa msimu ujao hii leo.
                          Zlatan Ibrahimovic akiwa amenyanyua juu kombe la ligi ya Uropa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni