.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 29 Julai 2017

MANCHESTER CITY YAMSHAWISHI ALEXIS SANCHEZ KWA KITITA CHA PUANDI LAKI 4 KWA WIKI

Timu ya Manchester City inajiandaa kumlipa mshambuliaji Alexis Sanchez kitita cha paundi 400,000 kwa wiki, iwapo ataamua kutua Etihad.

Sakata linalomhusu mchezaji huyo anayetaka kuondoka Arsenal limechukua sura mpya jana baada ya nyota huyo kutuma picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na majonzi.

Timu ya Arsenal imethibitisha kuwa Sanchez anatarajiwa kutinga katika kambi ya maandalizi ya msimu pya kesho, na iwapo hata jitokeza hofu ya kuhama itakuwa.
            Alexis Sanchez akiwa kwenye pozi la huzuni akiwa amemkumbatia mbwa wake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni