.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 30 Julai 2017

MILIO YA RISASI YASIKIKA NYUMBA ILIVYOVAMIWA YA NAIBU RAIS WA KENYA

Milio ya risasi imeendelea kusikika katika nyumba ya Naibu Rais wa Kenya William Ruto iliyopo Sugoi, baada ya saa 18 kupita tangu ivamiwe na watu wasiojulikana.

Hapo jana Polisi wa Kaunti ya Uasin Gishu wamesema mmoja wa wavamizi aliyengia katika nyumba hiyo alimjeruhi polisi.

Operesheni ya kuwatoa wavamizi katika nyumba ya Naibu Rais inaendelea. Ruto alilala nyumba yake hiyo usiku wa Ijumma na kuondoka jumamosi saa tano asubuhi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni