.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 31 Julai 2017

MKURUGENZI WA TEHAMA WA TUME YA UCHAGUZI KENYA AUWAWA

Mkurugenzi wa Kitengo cha TEHAMA wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) Chris Musando aliyepotea Ijumaa usiku amekutwa akiwa ameuwawa, mwili wake ukiwa hauna mkono.

Polisi Kenya wamesema mwili wa marehemu Musando umekutwa pamoja na mwanamke ambaye bado hajatambulika katika eneo la Kikuyu na imeshahifadhiwa katika chumba cha maiti.

Kifo hicho kimetokea ikiwa zimebakia siku saba tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Agosti 8, mwaka huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni