.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 31 Julai 2017

NEMANJA MATIC AONEKANA AKIFANYIWA VIPIMO KATIKA KLABU YA MANCHESTER UNITED

Jose Mourinho amethibitisha kuwa mchezaji Nemanja Matic anataka mno kujiunga na Manchester United baada ya kuvuja picha ya mchezaji huyo akifanyiwa vipimo.

Kiungo huyo wa Chelsea atakamilisha uhamisho wa paundi milioni 40 kuungana tena na Mourinho na inaaminika picha alionekana Matic kavaa jezi ya United ni ya kweli.

Hata hivyo akiongea baada ya Manchester United kushinda magoli 3-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Valerenga Jijini Oslo, Mourinho alikataa kuthibitisha kukamilisha uhamisho wa Matic.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni