.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 31 Julai 2017

NEYMAR ASHINDWA KUREJEA NA WACHEZAJI WENZAKE BARCELONA

Neymar hajarejea Barcelona jana na wachezaji wenzake na kunauwezekano akakamilisha uhamisho wa paundi milioni 196, kwenda Paris Saint-Germain wiki hii.

Hata hivyo kuna mambo bado hayajafikiwa makubaliano baina ya klabu hizo mbili juu ya namna uhamisho huo utakaoweka rekodi duniani utakavyofanyika malipo yake.

Barcelona wanataka kulipwa kwa mkupuo kiasi chote cha paundi milioni 196, ili iweze kumruhusu kuondoka na kuvunja mkataba wake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni