.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Julai 2017

WACHEZAJI CHELSEA WAJIFUA GYM SINGAPORE KWA MAANDALIZI YA LIGI

Timu ya Chelsea imekuwa ikijifua mno kwa maandalizi ya msimu ujao nchini Singapore huku kocha Antonio Conte akiwapeleka wachezaji hao kujifua gym.

Kocha Conte ameonya kuwa wapinzania wa Chelsea watakuwa wanawakamia ili waweze kuwavua taji la ubingwa wa Uingereza.
                                     Mchezaji mpya wa Chelsea Alvaro Morata akifanya mazoezi 
          Mshambuliaji raia wa Ubelgiji Michy Batshuayi akijifua kwa kuvuta kamba
                                            Mbrazili Willian akijifua kuimarisha misuli ya miguu
                        David Luiz akionyesha uwezo wake wa mazoezi wakati akijifua gym

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni