.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Julai 2017

ZINEDINE ZIDANE AIPA MANCHESTER UNITED MATUMAINI YA KUMPATA BALE

Kocha Zinedine Zidane ameipa ishara njema Manchester United kwa kusema kuwa anaweza kushindwa kumbakisha Gareth Bale, Real Madrid.

Mustakabali wa Bale katika klabu hiyo yenye maskani yake Bernabeu haujajulikana wakati huo ambapo Real Madrid ikijipanga kutoa paundi milioni 160 kwa mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe.

Inafahamika kuwa kocha huyo wa Real, Zidane huenda akalazimika kuwatoa kafara Cristiano Ronaldo, Karim Benzema ama Bale ili kumpa nafasi Mbappe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni