.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Agosti 2017

ARSENAL YAMSHAWISHI SANCHEZ KWA MSHAHARA WA PAUNDI LAKI 3 KWA WIKI

Arsenal imempa ofa Alexis Sanchez ya mkataba mpya utakaomfanya kulipwa mshahara wa paundi 300,000 kwa wiki.

Mshambuliaji huyo mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu huu na amegoma kuongeza mkataba.

Arsenal awali ilitoa ofa paundi 225,000, kwa wiki pamoja na bonasi itakayofanya aweze kuongezewa paundi 275,000 kwa wiki.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni