.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Agosti 2017

BARCELONA YATARAJIA KUISHAWISHI TENA LIVERPOOL KUMUACHIA COUNTINHO

Barcelona inatarajia kurejea tena kwa Liverpool na ofa ya dau la paundi milioni 138 ili kumtwaa Mbrazili, Philippe Coutinho.

Klabu hiyo kubwa ya Hispania leo itatoa ofa ya paundi milioni 101 kwanza kwa Liverpool na kisha baadaye kuongeza kiasi cha paundi milioni 37.

Kiasi hicho cha fedha za nyongeza kitahusishwa iwapo Coutinho atacheza Ligi ya Mabingwa Ulaya jambo ambalo litawezekana iwapo akihamia Barcelona.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni