.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 3 Agosti 2017

BONDIA WLADIMIR KLITSCHKO ATANGAZA KUSTAAFU NGUMI

Bondia Wladimir Klitschko ameamua kustaafu ngumi, na kuuwa matumaini ya kuwepo kwa marejeo ya pambano lao na Anthony Joshua.

Bondia huyo raia wa Ukraine alipigwa na Joshua katika pambano la uzito wa juu mwezi Aprili na Muingereza Joshua alikuwa akitarajia kurejeana naye tena Novemba 11.

Lakini Klitschko mwenye umri wa miaka 41, ametoa video akithibitisha kuwa ameamua kustaafu rasmi kupambana ngumu baada ya kuzidunda kwa miaka 21.
                               Bondia Wladimir Klitschko akipambana na Anthony Joshua

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni