.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Agosti 2017

CONOR MCGREGOR ADAI FLOYD MAYWEATHER AMEMKWEPA KUKUTANA NAYE

Bondia Floyd Mayweather amepata mapokezi mazuri kutoka kwa mamia ya mashabiki wake katika ukumbi wa T-Mobile Arena Jijini Las Vegas.

Mpinzani wake Conor McGregor naye aliwasili akiwa amechelewa baadaye kwenye ukumbi huo na kupishana na Mayweather.

Hata hivyo McGregor amedai kuwa mpinzani wake amekuwa makini kumkwepa kukutana naye uso kwa uso siku chache tu kabla ya pambano lao kubwa duniani.
                   Bondia Mmarekani Floyd Mayweather akiwa amepozi kwa picha na mamodo
                     Bondia raia wa Ireland Conor McGregor akipungia mkono mashabiki

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni