.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 6 Agosti 2017

CRISTIANO RONALDO AANZA MAZOEZI NA REAL MADRID KUIVAA MAN U

Cristiano Ronaldo amerejea kwenye mazoezi Real Madrid wakati akijiandaa kuivaa klabu yake ya zamani ya Manchester United katika kombe la Ulaya la Super Cup wiki ijayo huku kukiwa na uvumi kuhusiana na mustakabali wake.

Mchezaji huyo bora duniani ajiunga na wachezaji wenzake katika mazoezi makali jana katika kambi ya klabu hiyo iliyopo Valdebebas nje ya Jiji la Hispania, huku Ronaldo akioneka kuwa fiti licha ya kuwa mapumzikoni kwa muda.
               Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Real Madrid 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni