.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 3 Agosti 2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR

DSC_8196
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
DSC_8214
Baadhi ya Wajumbe wa Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakiwa katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hiafadhi ya Jamii chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
DSC_8216
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(wa pili kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
DSC_8229
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii  Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (kuklia) alipokuwa akisoama taarifa kwa niaba ya Bodi yake katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 02/08/2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni