.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Agosti 2017

HINA YAMPONZA MWANAMKE NA KUSHINDWA KUPIGAKURA KENYA

Mwanamke aliyepaka hina vidoleni ashindwa kupigakura baada ya mashine ya kielektroni kushindwa kutambua alama za vidole vyake wakati wakenya wakijitokeza kupiga kura kwa wingi hii leo.

Tatizo la alama za vidole kushindwa kuonekana na mashine ya kielektroniki pia limewakumba makumi ya wachimba kokoto katika jimbo la Kipipiri baada ya kifaa cha kielektroniki kushindwa kutambua alama za vidole vyao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni