.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 2 Agosti 2017

KELECHI IHEANACHO KUWA MALI YA LEICESTER CITY NDANI YA SAA 24

Mshambuliaji Kelechi Iheanacho amefanyiwa vipimo Leicester City jana kuelekea kukamilisha uhamisho wa paundi milioni 25 akitokea Manchester City.

Mchezaji huyo raia wa Nigeria, ameshaafikiana na Leicester kuhusu maslahi yake na sasa anaelekea kukamilisha kila kitu baada ya saa 24.

Kelechi Iheanacho amekuwa siyo mchezaji anayepewa kipaumbele katika kikosi cha Manchester City hivyo kufungua milango ya kuondoka kwake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni