.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 10 Agosti 2017

LIVERPOOL YAKATAA DAU LA PAUNDI MILIONI 90 LA BARCELONA

Liverpool imekataa dau la paundi milioni 90 kutoka kwa Barcelona kwa ajili ya kumnunua mchezaji Mbrazili Philippe Coutinho.

Jaribio la pili la Barcelona la paundi milioni 85 pamoja na nyongeza ya paundi milioni 13.5 iwapo atafanya vizuri lilikataliwa.

Liverpool imeendelea kusisitiza kwamba Coutinho ambaye alijiunga na timu hiyo kutoka Inter Milan kwa paundi milioni 8.5 mwaka 2013 hauzwi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni