.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Agosti 2017

MAFUNZO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KIDIGITALI YAFANYIKA


1 - Copy
Mtaalamu wa mfumo wa GePG (Government electronic Payment Gateway) kutoka Wizara ya fedha akielezea faida za mfumo kwa watumiaji pamoja na jinsi ya kuutumia katika kutoa huduma bora.
2 - Copy
Mafunzo juu ya matumizi ya mfumo wa GePG ya kitolewa kwa maofisa wa ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini
3
Wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi pamoja na maofisa kutoka ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini wakifuatilia mafunzo kwa umakini
4
Mtaalamu kutoka Wizara ya Fedha akionesha mfano wa fomu za benki ya NMB ambazo mwananchi atapaswa kujaza akienda kulipia kodi ya pango la Ardhi katika benki hiyo.
5
Mtaalamu kutoka Wizara ya Ardhi (aliyesimama nyuma) akitoa msaada jinsi ya kutumia mfumo kwa maofisa wa ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni