.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 10 Agosti 2017

MKONGWE DWIGHT YORKE ATUPIA MBILI WAKATI MAN U IKIISHINDA SWANSEA

Manchester United imeibuka na ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya Swansea katika mchezo wa maveterani wa timu hizo ambao ulishuhudia Dwight Yorke akifunga magoli mawili.

Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa heshima ya beki mkongwe wa Swansea Alan Tate, ambaye pia aliwahi kuichezea Manchester United na kisha kuhamia Swansea.
Beki wa zamani wa Swansea Alan Tate akipigiwa makofi katika mchezo ulioandaliwa kwa heshima yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni