.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 1 Agosti 2017

NEMAYR KUTUA UFARANSA JUMANNE KUMALIZANA NA PSG

Nyota wa Brazili Neymar hatoenda Doha kufanyiwa vipimo kabla ya kukamilisha uhamisho wa paundi milioni 196m akitokea Barcelona na kutua Paris Saint-Germain, lakini badala yake ataenda Ufaransa jumanne.

Gazeti la Le Parisien limeripoti kuwa kila mtu anaona kuwa Neymar atatua Ufaransa akitokea China ambapo yupo kwa ajili ya kufanya kazi ya promotion, badala ya kwenda Qatar ambapo mmiliki wa PSG amewekeza kisoka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni