.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 6 Agosti 2017

NEYMAR AAHIDI KUSHINDA MAKOMBE MENGI AKITAMBULISHWA PSG

Neymar ameahidi kushinda makombe mengi wakati akikaribishwa kwa shangwe baada ya kutambulishwa kwa mashabiki wa Paris St-Germain siku ya jumamosi.

Mshambuliaji huyo raia wa Brazili amejiunga na klabu hiyo ya Ufaransa akitokea Barcelona kwa ada ya paundi milioni 200 na atalipwa paundi milioni 40.7 kwa mwaka.

Neymar alilazimika kuangalia PSG ikishinda 2-0 dhidi ya Amiens kutokana na kutokamilika kwa nyaraka zake, akishuhudhia Edinson Cavani na Javier Pastore wakifunga magoli.
                          Neymar akishangilia goli lililofungwa na timu yake mpya ya PSG
                 Edinson Cavani akiwa amepiga mpira uliomshinda kipa wa Amiens na kujaa wavuni   

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni