.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 7 Agosti 2017

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA STENDI YA MABASI YA KOROGWE MJINI MKOANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika katika ufunguzi huo wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo kabla ya kufungua rasmi Kituo hicho cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
 Taaswira ya wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni