.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 7 Agosti 2017

TORI BOWIE ASHINDA MBIO ZA MITA 100 WANAWAKE LONDON

Mwanariadha Mmarekani Tori Bowie ameshinda mbio za mita 100 wanawake katika michuano ya mabingwa wa dunia.

Bowie amewashinda wanariadha Marie-Josee Ta Lou na Dafne Schippers huku bingwa wa michuano ya Olimpiki Elaine Thompson akitoka mikono mitupu.

Ushindi huo umekuja baada ya Mmarekani mwenzake Justin Gatlin kumshinda Usain bolt katika mbio za mita 100 wanaume.
   Mwanariadha Mmarekani Tori Bowie akishangilia ushindi huku akiwa na bendera ya taifa lake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni