.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 2 Agosti 2017

"TWENZETU WASHINGTON DC " WATANZANIA KUFANYA RE-UNION LABOR DAY WEEKEND NDANI YA WASHINGTON DC !!

*#TWENZETU WASHINGTON D.C.#

Hii ndio Habari Ya Mijini Kote U.S.A. Kila kona habari kubwa imekuwa "DMV-KAMA ZAMANI". Wana DMV wanayofuraha kubwa Kuwakaribisha Watanzania Wote kutoka kila Pande za America Kujumuika Pamoja Kama ilivyokuwa Desturi yetu Miaka ya Nyuma.

Soma Ratiba Nzima kujua Mpango Mzima. Kumbuka; Ukishafika tu hapa Washington DMV, Wageni Wote Chakula, Vinywaji vya aina zote na kiingilio ni "BURE".

Stay Tuned More Details to Come

"We Ain't Done Yet"

#WashingtonDMV2017 #PositiveVIBESoNlyDMV#

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni