.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 4 Agosti 2017

WANANCHI WA RWANDA WAJITOKEZA KUPIGA KURA

Wananchi wa Rwanda wamejitokeza leo kupiga kura kumchagua rais katika uchaguzi mkuu ambao rais ambao jumla ya wapigakura milioni 6.8 wanatarajiwa kushiriki kipiga kura.

Vituo vipatavyo 2,340 vimeweka nchi nzima katika zoezi la upigaji kura vimefunguliwa tangu saa moja asubuhi na vitafungwa saa tisa mchana.

Wagombea urais wanaogombea ni rais Paul Kagame wa RPF-Inkotanyi, Frank Habineza, wa Democratic Green Party of Rwanda na mgombea binafsi Philippe Mpayimana.

Rais Paul Kagame anatarajiwa kuibuka na ushindi mkubwa katika uchaguzi huo utakaomuwezesha kuiongoza tena Rwanda kwa muhula wa tatu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni