.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Agosti 2017

WANANCHI WALIOPEWA URAIA MUHESHIMU SHERIA ZA NCHI ,MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa CUF Jimbo la Kaliua ,Magdalena Sakaya .Agosti 11.2017,Waziri Mkuu yupo wilayani Kaliua kwa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo katika Mkoa wa Tabora
                                                                                       Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihotubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Veta Jimbo la Ulyankulu wilayani Kaliua Mkoani Tabora leo August 11.2017, ambapo amewataka wananchi waliopewa uraia kuheshimu sheria za nchi vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.  Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na wananchi wa kitongoji cha Mwamnange kilichopo Wilaya ya Kaliua leo Agosti 11 2017 .Wananchi hao walisimamisha msafara wake ili kumuomba serekali iwasaidie kupata Umeme. Waziri Mkuu yupo Mkoani Tabora kukagua shughuli za maendeleo.
                                                                        Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni