.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 2 Agosti 2017

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA UNICEF TANZANIA NA UNDP TANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman . wakati alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu . magogoni Dar es salaam agosti 2. 2017 kwa mazungumzo ya kikazi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na mwakilishi mkazi wa Unisef Nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman Ogasti 2. 2017 kwa mazunguzo ya kikazi yaliyo fanyika ofisni kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi mkazi wa UNDP nchini Tanzinia Bwana Alvaro Rodriguez , wakati walipo mtembelea ofisini kwake Magogoni Dar es salaam .kwa mazungumzo ya kikazi Katikati ni Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Maniza Zaman. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni