.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 9 Agosti 2017

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA WA MAGARI KUTOKA FOTON KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI ZA MAENDELEO NCHINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Funguo ya Magari matatu yenye thamani ya Dola za kimarekani 99,700 ambayo amekabidhiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Foton International kutoka China Bwana Zhao Xiano Kwa ajili ya kusaidia shughuli zamaendeleo nchini Tanzania ,wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Meneja masoko wa kampuni ya Simba Motors Taanzania Bibi Ifigenia Salazar na kutoka kulia ni Afisa masoko wa Foton International , Bwana Fan Liang .makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam Agosti. 9. 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia moja ya magari aliyo kabidhiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Foton International kutoka China Bwana Zhao Xiano Kwa ajili ya kusaidia shughuli zamaendeleo nchini Tanzania. makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam Agosti. 9. 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni