.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Septemba 2017

JUMBA JIPYA LA BONDIA FLOYD MAYWEATHER BALAA


Jumba la bondia Floyd Mayweather lililopo Beverly Hills, lenye thamani ya dola milioni 18, ni la aina yake likiwa na eneo la filamu pamoja na duka lake binafsi la pipi na chocolate

Nyumba hiyo mpya ya Floyd 'Money' Mayweather ina eneo la kuhifadhia mvinyo, vyumba sita, bafu 10 ikiwa pia na bwawa la kuogelea katika eneo la nje.
                 Chumba maalum cha kuangalia filamu katika jumba hilo la Mayweather
                                     Eneo la duka binafsi la aina mbalimbali za pipi na chocolate
                      Eneo la kuhifadhia mvinyo (wine) kama linavyooneka hapo ukutani 
                    Moja ya chumba cha kulala kinavyoonekana katika jumba hilo la Mayweather

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni