.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Septemba 2017

KIMBUNGA MARIA CHAIATHIRI MNO NCHI YA DOMINICA

Waziri Mkuu wa Dominica Roosevelt Skerrit amesema nchi hiyo imeathiriwa sehemu kubwa na kimbunga Maria.

Skerrit ameandika katika ukurasa wake wa Facebook kuwa Dominica imepoteza kila kitu chenye thamani.

Kimbunga Maria chenye kasi ya kilomita 257 kwa saa kimeimarika na kuweka daraja la 5 kwa ukubwa.
                                  Hali ilivyo Dominica wakati kimbunga Maria kikiikumba nchi hiyo
Maandalizi ya kukabiliana na kimbunga Maria, hapa madirisha na milango ikizuiwa kwa kupigiliwa mbao juu yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni