.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

MFUKO WA GEPF WAANZISHA MPANGO WA GEPF DIASPORA SCHEME


Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora,Bi Rosemary Chambe Jairo akifungua rasmi mkutano wa Watanznia waishio nchini Botswana wakati walipokutana na Ujumbe kutoka Mfuko wa GEPF ulikuwa ukiitambulisha mpango wa GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) nchini humo,hivi karibuni.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Botswana,Bw Kisasi akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
 

Mkurugenzi wa Uendeshaji kutoka Mfuko wa GEPF,Bw Anselim Peter akiwasilisha mada kuhusu mpango wa GEPF Diaspora Scheme (GDS) na faida zake wanachama.


Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF,Bw. Aloyce Ntukamazina akisisitiza juu ya umuhimu wa watanzania waishio Botswana kuanza kujiwekea akiba kupitia mpango huo wa GEPF Diaspora Scheme (GDS).
 

Baadhi ya Watanzania waishio Botswana wakifuatilia kwa makini mada zilizowasilishwa na mfuko wa GEPF.


Bw Jimmy Joseph Mwambije Mtanzania aishie Botswana akijaza fomu na kujiunga rasmi na mpango huo wa GEPF Diaspora Scheme (GDS).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni