.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 15 Julai 2015

DK. SHEIN AFUTARISHA WANANCHI WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA, IKULU


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wengine katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.
Wananchi na Waislamu wa Mkoa Mjini Magharibi wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Wananchi na Waislamu wa Mitaa mbali mbali katika Mkoa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na wake wa Viongozi wakati wa futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini
Akinamama wa Mkoa wa Mjini magharibi wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Wananchi baada yafutari waliyoitayarisha jana kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi waliohudhuria katika futari waliyowaalika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Ungu baada ya kumalizikakwa futari hiyo,[Picha na Ikulu.] 

                                                                                                 Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni