Vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga, Jijini Dar es Salaam wakishangilia baada ya Meneja wa Huduma kwa Jamii wa NHC, Bw. Muungano Saguya alipokabidhi msaada wa mashine tatu za kufyatulia matofali kwa Mlezi wao, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani Luhanga, Rev. Richard Hananje anayelea takribani vijana 150 hivi. Shirika limetoa msaada wa mashine hizo tatu za kufyatulia matofali ya kufungamana zenye thamani ya shilingi milioni moja na nusu kwa vijana hao na mtaji ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato na kusahau utumiaji wa madawa ya kulevya. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Muungano Saguya akikabidhiana mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana na Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani Luhanga, Richard Hananje kwa ajili ya kuwapatia vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam. Shirika hilo limetoa msaada wa mashine hizo za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Edith Nguruwe akijadiliana jambo na baadhi ya vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam, baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Meneja wa Huduma kwa Jamii, Muungano Saguya (hayupo Pichani) baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya akizungumza na vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam, baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya akijadiliana jambo na mmoja wa vijana waathirika wa madawa ya kulevya ambao wamebadilika kabisa tabia na sasa wanafanya shughuli mbalimbali za kujipatia kipato.
Vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Meneja wa Huduma kwa Jamii, Muungano Saguya baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya akizungumza na vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam, baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya akimkabidhi kiasi cha pesa kwa Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani Luhanga, Richard Hananje kwaajili ya kuwasaidia vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam, baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani Luhanga, Richard Hananje akizungumza na vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam, baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Edith Nguruwe akijadiliana jambo na baadhi ya vijana walioacha kutumia dawa za kulevya katika eneo la Kigogo Luhanga Jijini Dar es Salaam, baada ya Shirika hilo kutoa msaada wa mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa vijana hao ili waweze kujishughulisha na kazi za kujiongezea kipato.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni