Waafrika zaidi ya 50 na makundi ya
haki za binadamu duniani yametoa wito kwa Rais Barack Obama kukutana
wazi na wanaharakati wa Demokrasia wakati atakapotembelea nchi za
Kenya na Ethiopia baadae mwezi huu.
Katika barua iliyowasilishwa Ikulu
ya Marekani, makundi hayo yameridhia ujio Obama, lakini wamepaza
sauti zao kuhusiana na ongezeko la changamoto za haki za binadamu
katika nchi atakazotembelea.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni