.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 11 Agosti 2015

RAIS BUHARI ATEUWA KAMATI YA KUMSHAURI NAMNA YA KUPAMBANA NA RUSHWA

Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameteua kamati ya kumshauri juu ya njia gani nzuri anaweza kuitumia kukabiliana na rushwa na kufanya mabadiliko ya mfumo wa sheria.

Kamati hiyo ya wajumbe saba wa kumshauri rais kuhusu kukabiliana na rushwa inaundwa na wanazuoni.

Rais Buhari alichaguliwa mwezi Mei, aliahidi zaidi kukabiliana na rushwa nchini Nigeria, ambapo amesema anaamini maafisa wa serikali wameiba karibu dola bilioni 150.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni