Donald Trump na mkewe Melania
wamehudhuria mlo wa usiku kabla ya kuapishwa rasmi kuingoza Marekani.
Rais huyo Mteule alitania kwa kusema
kuwa iwapo mvua itanyesha leo wakati wa kuapishwa watu watajua kwamba
kichwani ananywele zake halisi.
Mlo huo wa usiku Jijini Washington,
ulihudhuriwa na wafadhili wa kampeni yake, nyota kadhaa kama Caitlyn Jenner, Jackie Evancho,
Kellyanne Conway na Makamu wake wa rais Mike Pence.
Rais mteule Donald Trump akiongea huku akiwa na Makamu wa Rais Mike Pence
Donald Trump aliyejawa na furaha akisimama na kupiga makofi
Spika wa Bunge Paul Ryan ambaye alikuwa mkosoaji mkubwa wa Donald Trump wakati wa kampeni akipozi kwa tabasamu katika picha ya pamoja na Trump
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni