Cristiano Ronaldo amerejea kwenye
mazoezi Real Madrid wakati akijiandaa kuivaa klabu yake ya zamani ya
Manchester United katika kombe la Ulaya la Super Cup wiki ijayo huku
kukiwa na uvumi kuhusiana na mustakabali wake.
Mchezaji huyo bora duniani ajiunga
na wachezaji wenzake katika mazoezi makali jana katika kambi ya klabu
hiyo iliyopo Valdebebas nje ya Jiji la Hispania, huku Ronaldo
akioneka kuwa fiti licha ya kuwa mapumzikoni kwa muda.
Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Real Madrid
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni