Jumatano, 12 Machi 2014

FAMILIA YASEMA MICHAEL SCHUMACHER UHENDA AKAZINDUKA

 Familia ya bingwa mara 7 wa mshindano ya magari yaendayo kasi ya Formula 1, Michael Schumacher imesema hali ya bingwa huyo aliyelazwa hospitali toka December mwaka jana jijini Paris Ufaransa imeanza kuimarika na uhenda akaamka karibuni.

Madaktari nchini Ufaransa wanajitahidi kumwezesha Schumacher kurejea katika hali yake ya kawaida. Bingwa huyo alianguka na kugonga kichwa katika mwamba wakati akicheza mchezo wa kuteleza katika barafu huko Ufaransa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni