Rweyunga Blog

Ijumaa, 14 Machi 2014

GODFREY MGIMWA AWAAMBIA WANA KALENGA WAMKOPESHA IMANI NA ATAWALIPA MAENDELEO

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa naNdugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa wakiimba wimbo mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Itwaga.
Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa.
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani  yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Itwaga.

at 07:42
Shiriki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Inaendeshwa na Blogger.