Jumapili, 9 Machi 2014

ILI KUWA BEST MAN KATIKA HARUSI YAKE, JAY Z AMPA SHARTI KANYE WEST

 Rapa mwenye mkwanja mkubwa nchini Marekani Jay Z amekubali kumsimamia rafiki yake Kanye West katika harusi yake na mwanadada anayetamba katika Luninga Kim Kardashian tarehe 24 mwezi wa tano mwaka huu kwa sharti moja kali. Jay Z amemwambia Kanye West kwamba, ili akubali kumsimamia ( Best man ) ni lazima wapiga picha kwa ajili ya televisheni wakae mbali na yeye, mkewe Beyonce na mtoto wao Blue Ivy
 Mke wangu kipenzi huo ndio msimamo wangu!! Jay Z akiongea na mkewe Beyonce
                       Kanye West akiwa na mke wake mtarajiwa Kim Kardashian

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni