
Jimbo la Marekani la Colorado limekusanya kodi inayofikia dola milioni 2, kutokana na kuruhusu biashara ya bangi kuanzia Januari mwaka huu.
Corolado limekuwa jimbo la kwanza la Marekani kuruhusu biashara ya bangi mwaka 2012, ambapo maduka ya biashara hiyo yalianza rasmi Januari mosi mwaka 2014.
Kwa ujumla viwanda 59 kwa kusindika bangi vimelipa kodi inayotokana na mauzo ya biashara yao bangi yanayofikia dola milioni 14.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni