Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani Ijumaa iliyopita kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar... Burudani inaendelea kama kawaida tukutane tena leo jioni......ni balaaaaa..!
Divas wa Skylight Band... Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos na Aneth Kushaba AK47 wakikonga nyoyo za mashabiki wao ndani ya kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Ijumaa iliyopita.
Muziki wa pwani a.k.a mduara ulihusika pale Thai Village
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni