Watu 4 wameripotiwa kufariki dunia, wengine wengi kujeruhiwa huku pia watu wengi wakiwa bado hawajaonekana kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika majengo mawili ya makazi na kisha kuanguka huko jijini New York nchini Marekani. Chanzo chaelezwa ni kulipuka kwa gesi
Vikosi vya uokojai vinaendelea na kazi ya kuwatafuta watu walionasa katika majengo hayo
Moshi mkubwa ukionekana katika majengo hayo baada ya kutokea kwa mlipuko huo




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni