MADAKTARI WANAOMTIBU MICHAEL SCHUMACHER WAKATA TAMAA
Ikiwa amefikisha siku 69 toka alazwe hospital mjini Paris nchini Ufaransa baada ya kuanguka na kugonga kichwa katika mwamba wakati akicheza mchezo wa kuteleza katika barafu december 29 mwaka jana, madaktari wanaomtibu bingwa wa mashindano ya magari ya Formula 1,Michael Schumacher wameiambia familia yake kuwa, ni miujiza tu ndiyo inasubiriwa ili bingwa huyo arejee katika hali yake ya kawaida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni