Ijumaa, 14 Machi 2014

NDEGE YASHINDWA KUPAA MAREKANI NA KUPEKEKEA TAIRI LA MBELE KUNG'OKA


Upepo mkali umepelekea ndege ya Shirika la Ndege la Marekani kushindwa kupaa na abiria kushushwa baada ya tairi la mbele kuvunjika na kuanguka chini.
Ndege hiyo Airbus A320 ilijikuta ikishindwa kupaa ikiwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Philadelphia, ambapo abiriA 149 walipata majeraha madogo, na watumishi wote wa ndege hiyo walitoka salama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni