Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uharibufu wa miundombinu ya Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo(hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kuzungumzia uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa.
Picha na Frank Shija – WHVUM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni