Rweyunga Blog

Ijumaa, 7 Machi 2014

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA HII LEO

Mwenyekiti wa Kamati ya  Kumshauri  Mwenyekiti kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Mhe Profesa Costa Mahalu (kulia) akiteta na wajumbe wa kamati hiyo Bungeni Mjini Dodoma baada ya Semina  ya Wabunge wa Bunge Maalum la  Katiba kuahirishwa hadi kesho saa nne.

Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe James Mbatia kwenye ukumbi wa bunge Mjini Dodoma baada ya Semina  ya Wabunge wa Bunge Maalum la  Katiba kuahirishwa hadi kesho saa nne

at 16:27
Shiriki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Inaendeshwa na Blogger.