Ijumaa, 7 Machi 2014
NDEGE NYINGINE YA ATC YAWASILI DAR ES SALAAM, KUANZA KAZI KESHO
Ndege nyingine ya air tanzania aina ya
CRJ-200 ER yenye
uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo
ndege hiyo itaanza
kuruka kesho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni