Jumamosi, 8 Machi 2014

LIGI KUU UINGEREZA, CARDIFF YAZINDUKA USINGIZINI NA KUIFUNGA FULHAM 3-1

 Timu ya soka ya Cardiff ambayo katika msimamo wa ligi kuu Uingereza ipo nafasi ya 18, leo imezinduka na kuifunga Fulham mabao 3-1 katika mchezo ulioshuhudia wachezaji Caulker akifunga mara mbili kunamo dakika ya 45 na 67, na bao la tatu kwa upande wa Cardiff likifungwa na Reither dakika ya 71. Bao la Fulham lilifungwa na Holtby dakika ya 59
 Pamoja na matokeo hayo, Cardiff ipo nafasi ya 18 ikiwa na point 25 huku Fulham ikiwa inaburuza mkiwa kwa kuwa na point 21

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni