Alhamisi, 13 Machi 2014

MALINDI NA MAFUNZO ZASHINDWA KUFUNGANA KATIKA LIGI KUU YA GRAND MALT ZANZIBAR JANA


Mlinzi wa Malindi, Fasihi Haji (kulia) akiwatoka washambuliaji wa Mafunzo, Said Yusuf (kushoto) na Hassan Ahmada. Malindi na Mafunzo walitoka nguvu sawa 0 - 0.
 

Fasihi Haji wa Malindi akijiandaa kupiga shuti mbele, kushoto kwake ni washambuliaji wa Mafunzo, Said Yusuf (kushoto) na Hassan Ahmada.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni